“Khadja Nin Sina Mali, Sina Deni lyrics”
Ahiya, Ahiya
Kwa baraka
Mimi napona
Kabisa, ni hajabu
Sina mwili tena
Niko sawa upepo
Mimi masikini
Sina mali mali, sina deni
Mali yangu baba
Ina nyesha kama mvua
Ina ruka kama ndege
Ina cheka kama mtoto
Ahiya, mam’ahiya
Sina haja,ya kitu,
mimi napona
I’m free, kama maji
Anatembeya mpaka katika pori
Mimi, mi masikini
Sina mali mali, sina deni
Mali yangu baba
Ina ota kama maua
Ina pita kama nyota
Ina waka kama jua
Pole pole mama
Wakati wangu umefika, mimi napona
I’m free, kama hewa
Ina ingiya mpaka fasi inapenda
Mimi, ni masikini
Sina mali mali, sina deni
Mali yangu baba
Ina ona kama macho
Ina waka kama moto
Ina lia kama ngoma
I’m free kama maji
Ana tempaka mpaka kati ya pori
Kama hewa, kama macho kama nyota, kama maji
Kama mimi leo, mimi napona
I’m free, I’m free
Kama mimi leo, mimi napona
Ahiya Mam’ahiya
sina mali, Mungu, sina deni
…
video link : http://www.youtube.com/watch?v=ks3I6t72d1I
You can leave a response, or trackback from your own site.
Filed Under :
Apr.29,2009
how are you, chica? keep the tunes coming.
Hey Kari – I am ok – how are you? Howz everything? Let me check your blog for some news
Thank you for the Sina Deni lyrics.
Beautiful Page too.
Thanks for popping in John – greetings from South Africa